KiSwahili
(verse:1)
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi
(verse:2)
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
Flag History | Black symbolizes the people, red is for the struggle for independence, and green is for agriculture. The white stripes stand for peace and unity. The Massai shield and spears represent the will to defend freedom. |
Flag Date of Adoption | 12 December 1963 |
Flag Symbolism | three equal horizontal bands of black (top), red, and green; the red band is edged in white; a large warrior's shield covering crossed spears is superimposed at the center |